FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Mashabiki wa Messi mnanongwa sana

Anyway ebu tujikite kwenye NBC
Hayajui MISS PENATI kafunga goli 5 zote za penati kati ya goli 6 alizoshinda ilihali King Mbappe amefunga goli 5 zote zisizo penati kati ya goli 7 alizoshinda?

Kiufupi tu akili zao ni fupi sawa na Miss penati wao wanaomshabikia [emoji38]
 
Kila mtu ashinde mechi zake.

Tunataka kujua leo ikiwa ni kweli...

1. Jezi nyeusi ina jambo
2. Kweli kuna bahasha za khaki

Azam wasiposhinda hii mechi ya leo hayo yote hapo juu ni ubatili.
Hahaaa jibu umelipata sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…