FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

Na imani kabisa kale katoto kutoka Zanzibar ni kashirikina kalikuwa kanaharibu nyota ya Aziz. Kamevunja tu mkataba na matunguli ya kenyewe kwa mtoto wa watu yameondoka. Mungu fundi kwelikweli nyie
Wee utakuwa mshabiki maandazi
Yaani Feisal kwa yote aliyotufanyia Yanga leo ndo awe mshirikina???
Hebu mkue basii...
Ulaya mtu anaondoka na timu inampa heshma ake ..sisi ni miroho yetu sasa.
Samahani ila huu ulioonyesha hapa sio ukomavu ni UZWAZWA..
 
Ila Mwambieni
Azizi Ki

Avae Bukta vizuri.
Sisi wengine hatupendi namna anavyo onesha mipaja yake.

Cc @TFF,
Wananchi tunambariki aendelee kuvaa bukta hivyo hivyo ili awe comfortable kupiga mashuti makali mpaka makipa wanayatema
 
Huwezi kushindwa Kudaka Mpira ambao tayari umepoa kwa kudunda Chini. Tena Unamtemea mpinzani Pale Hata Veterani Anafunga

Poor Azam, Wanafanya Makosa Ya Kijinga Sanaaa
Nina uhakika wewe PIMBI hujawahi kucheza mpira. Yaan mpira ule unamlaumu KIPA? Rudi kaangalie game ya BRAZIL VS GERMAN 2002 WORLD CUP FINAL, RIVALDO ALIACHIA MUWA WA MAANA UKADUNDA NA OLIVER KHAN AKAKOSA TIMING KAMA HIVI LEO KISHA RONALDO LUIS NAZARIO akaweka kambani.
 
Wananchi tunambariki aendelee kuvaa bukta hivyo hivyo ili awe comfortable kupiga mashuti makali mpaka makipa wanayatema
Hapana
Sheria ya mpira wa miguu hairuhusu mchezaji kukunja jezi yake.
Marefa wanashundwa kuzingatia hii kanuni kwa Azizi KI.
 
Biashara ya wachezaji ipo kote duniani, ila inategemea umeondoka vp? Feisal katumia shinikizo kulazimisha uongozi kuvunja mkataba ili mradi tu ajiunge na azam. Wakati anajua kabisa ana mkataba tena wa miaka miwili. Kama angetumia busara kuvunja akawaita wanaomtaka wakakaa mezani na uongozi wa YANGA wakamalizana sisi mashabiki hatuna shida. Sasa anataka klabu ya Yanga iambulie mil. 112 badala ya kufanya biashara ya wachezaji.
 
Umenisaidia kumjibu ningejibu mimi ningetumia umandazi kwelikweli kama alivyoniita!
 
Hapana
Sheria ya mpira wa miguu hairuhusu mchezaji kukunja jezi yake.
Marefa wanashundwa kuzingatia hii kanuni kwa Azizi KI.
Hii sheria unaijua wewe peke yako?
Mbona Neymar amekua akifanya hivo
 
Kwa matokeo haya, je tuendelee kuamini jezi nyeusi na bahasha ndio vinaipa ushindi Yanga?

Juhudi za wachezaji uwanjani ni kubwa, eti Shadeeya mtani
 
Kwa matokeo haya, je tuendelee kuamini jezi nyeusi na bahasha ndio vinaipa ushindi Yanga?

Juhudi za wachezaji uwanjani ni kubwa, eti Shadeeya mtani
Iko kiparagraph cha kwanza kitakurudisha nyuma Mtani.

Nadhani umeona vile wachezaji wamejitoa na hiyo ndio siri ya ushindi kwa timu ya Wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…