joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Nategemea updates zenu niko tight siangalii mechi
Mechi dhidi ya Vipers si alianza lakini?Mechii za ligii kuu na kimataifa zilizompita halafu tukapata matokeo mabovu naamini angekuwepo angeweza fanya kitu