FT: Azam Sports Federation Cup | Simba SC 4-0 Pamba FC | Uwanja wa Mkapa (Sasa ni Simba Vs Yanga Nusu Fainali)

FT: Azam Sports Federation Cup | Simba SC 4-0 Pamba FC | Uwanja wa Mkapa (Sasa ni Simba Vs Yanga Nusu Fainali)

Kikosi cha TP Lindanda Wana Kawekamo Pamba FC
Screenshot_20220514-184048~2.jpg
 
Vitimu Wanavyocheza Navyo Simba Kwenye Hili Kombe Bhn [emoji23], Af Tunawaomba Bodi Ya Ligi Kwa Matokeo Yoyote Mtakayopata Leo Wawaongezee Point 4 Huku Kwenye Ligi.
 
Timu zote mbili zinangia uwanjani tayari kwa mchezo.

Wakati wowote mpira umeanza uwanja wa Mkapa | Simba SC Vs Pamba FC

00' Naaam mpiraaaaaaa umeanza
 
Kennedy kaachia fataki moja matata limeenda nje ya lango
 
Dakika 18'

Pamba nao wanafanya shambulizi hatari lakini mpira unapanguliwa na beno kakolanya
 
22'

Bocco anapiga header lakini inagoma
 
Vitimu Wanavyocheza Navyo Simba Kwenye Hili Kombe Bhn [emoji23], Af Tunawaomba Bodi Ya Ligi Kwa Matokeo Yoyote Mtakayopata Leo Wawaongezee Point 4 Huku Kwenye Ligi.
Hii sala umeiomba uje kupewa utakatacho af uanze kulia machozi.
 
Back
Top Bottom