FT: Azam Sports Federation Cup | Simba SC 4-0 Pamba FC | Uwanja wa Mkapa (Sasa ni Simba Vs Yanga Nusu Fainali)

FT: Azam Sports Federation Cup | Simba SC 4-0 Pamba FC | Uwanja wa Mkapa (Sasa ni Simba Vs Yanga Nusu Fainali)

45' Banda Goooooooooooooaaal gooal

Peter Banda anahesabu bao la kwanza, akipiga shuti kali kwa utulivu akipokea pasi murua kutoka kwa Bwalya na kumuacha golikipa wa Pamba akiruka bila mafaniko

Simba SC 1-0 Pamba FC
 
Dakika 2 zimeongezwa kuelekea kumalizika kipindi cha kwanza
 
Back
Top Bottom