Ulitaka tucheze na liver united sioVitimu Wanavyocheza Navyo Simba Kwenye Hili Kombe Bhn [emoji23], Af Tunawaomba Bodi Ya Ligi Kwa Matokeo Yoyote Mtakayopata Leo Wawaongezee Point 4 Huku Kwenye Ligi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Madhara ya kukaa Benchi kwa muda mrefu yanaonekana wazi wazi kwa Mhilu
Hii sala umeiomba uje kupewa utakatacho af uanze kulia machozi.Vitimu Wanavyocheza Navyo Simba Kwenye Hili Kombe Bhn [emoji23], Af Tunawaomba Bodi Ya Ligi Kwa Matokeo Yoyote Mtakayopata Leo Wawaongezee Point 4 Huku Kwenye Ligi.