James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Gemu itaamukiwa na kocha ktk sabu zake. Makicha wengi na wachezaji wengi wa timu za afrika ikifika dkk 70 wanakosa focus ya kubadilisha wachezaji ili kuingzia nguvu mpya na kuilocate hiyo nguvu iende wapi.Senegal wanashinda hii game.
Katika kitu huwa najiepusha nacho ni kukariri.Timu za Afrika zinaanzaga hivi hivi
Tatizo wahenga walisema mtoto halali na pesa! Pesa akiipata mtoto anawaza kuila fasta! Ivory Coast alipata shilingi mapema tu, lakini akaila!! Ngoja tuone kama Senegal atafanya vinginevyo leo! Vinginevyo timu za Afrika zinajua kutuumiza sana! huwa hazilali na pesa kama watoto!Ubeligiji wabovu Senegal akikaza anaweza waondoa kwani timu anayo.
Labda wazingue wenyewe ila mechi hii yao.Tatizo wahenga walisema mtoto halali na pesa! Pesa akiipata mtoto anawaza kuila fasta! Ivory Coast alipata shilingi mapema tu, lakini akaila!! Ngoja tuone kama Senegal atafanya vinginevyo leo! Vinginevyo timu za Afrika zinajua kutuumiza sana! huwa hazilali na pesa kama watoto!
Huwezi kuepukaKatika kitu huwa najiepusha nacho ni kukariri.
Broo mechi imeisha hii, Senegal anaongoza mbili bila.Tatizo wahenga walisema mtoto halali na pesa! Pesa akiipata mtoto anawaza kuila fasta! Ivory Coast alipata shilingi mapema tu, lakini akaila!! Ngoja tuone kama Senegal atafanya vinginevyo leo! Vinginevyo timu za Afrika zinajua kutuumiza sana! huwa hazilali na pesa kama watoto!
Kwa taarifa yako Ubelgiji siyo wabovu. Kwenye mkeka wa FIFA ni wa tisa!! Kwenye mkeka Senegal wako nyuma ya Ubelgiji. Ila hicho si kigezo cha kuamua matokeo ya leo ila kinaonesha kuwa Ubelgiji si wabovu kivile! Kila la heri Senegal! Msiwe kama watoto wasiolala na pesa!Ubeligiji wabovu Senegal akikaza anaweza waondoa kwani timu anayo.
Sawa kwenye Rank ni ya tisa, ila CURRENT FORM yao ni mbovu na ndio maana niliwapa Senegal nafasi mbele yao, hawakuwa na kiwango bora kwenye michuano hii.Kwa taarifa yako Ubelgiji siyo wabovu. Kwenye mkeka wa FIFA ni wa tisa!! Kwenye mkeka Senegal wako nyuma ya Ubelgiji. Ila hicho si kigezo cha kuamua matokeo ya leo ila kinaonesha kuwa Ubelgiji si wabovu kivile! Kila la heri Senegal! Msiwe kama watoto wasiolala na pesa!