FT: Belgium 3-2 Senegal | World Cup 2026 | Lumen Field | 1 Julai, 2026 |5:00 Usiku

kawaulize simba 2 zilirudi hadi leo ngungu boy haamini anaimba tu ni hujuma ni hujuma
 
Hapa ndiyo mjue Morroco wako vizuri sana, kuwadhidi hao Senegal
 
Ulishaona wapi, mchezaji wa Afrika atajituma kuifunga nchi ya Ulaya ambayo wao hao wachezaji wa kiafrika wanapata ugali wao.

Kitakachotokea ni kuchimbwq biti na kuuza match tu.

Hatuwalaumu wachezaji wa Senegal, bali tunawalaumu njaa zao.
Yaani Mane leo, alichofanya...mhhhh! Hii michezaji inatakiwa ifukuzwe huko tena ichapwe viboko kabisa, Lile kombe la Afcon wawapelekee Morocco haraka sana, swine!
 
Morocco waliona mbali kusema wao siyo waafrica
Kuna mchambuzi mmoja sijui ni wa Serbia kama sijakosea alisema wachezaji wa kiafrika hawapo makini hivyo wakati wanacheza nao ngazi ya club huko Hispania walikuwa wakiwafuatilia kwa ukaribu uwanjani ili wasiicost timu. Watu wakamshukia kama mwewe akiwemo kocha wa Ivory cost wakidai jamaa ni mbaguzibwa rangi. IIa ukiangalia kwa umakini kuanzia mechi ya juzi ya Ivory cost thidi ya Norway na Leo Senegal na Congo DRC unaweza sema mshkaji aliongea ukweli mchungu.

Naamini kama Senegal na Ivory cost wangekuwa na makocha wa kigeni kwa aina ya wachezaji walionao wangeweza kuvuka hii hatua. The way Morocco wanavyocheza ukiwatizama ni kweli wale sio wenzetu kuna kitu wametuzidi.
 
Sasa mtaona jinsi zile timu zilizowatoa Ivory Coast, Senegal na Congo zitakavyokwenda kupata tabu na kupewa kipimo halisi cha mechi za watu walio na uchungu na mataifa yao, Mexico, Marekani, Brazil watawaonesheni nini maana hatutaki utani na mpira... England atapewa mechi ngumu na Mexico ambayo hajawahi kupata, huyu Ubelgiji naye anakwenda kupasuliwa na USA vizuri kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…