ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
wewe kama nani kama hutaki kusikia maoni ya wengine wewe ndiye unatakiwa kuhamaAsiyemtaka Mugalu, ahame Simba SC. Timu ziko nyingi, msitusumbue.
Nilisikika nikitoa angalizo mapemaaa kabla ligi haijaanza.
Sijasema sitaki maoni, nimesema ASIYEMTAKA MUGALU ahame....wewe kama nani kama hutaki kusikia maoni ya wengine wewe ndiye unatakiwa kuhama
Sema kocha kibu denis hajamuelewa nn make hizi ndo mechi jamaa angekuwa wa msaada,ana nguvu anaweza tembea na mpira fresh.Kikosi cha leo...
View attachment 1956178
Anayemtaka Mugalu aende nae Congo, hatutaki wachezaji wanaobahatisha game, Simba ni timu kubwa sana! Hebu fikiria Mayele alipata nafasi moja tu ya kwanza kaitendea haki, Mugalu wetu hata kulipokuwa usiku bado anapigaga nje au kupaisha, hivi anaijua thamani yake na ya klabu ya Simba kweli??? Hapana mimi bado nna hasira aisee, akae bench tu akina Kagere na Kibu wasimamie show!Asiyemtaka Mugalu, ahame Simba SC. Timu ziko nyingi, msitusumbue.
Nilisikika nikitoa angalizo mapemaaa kabla ligi haijaanza.
Nadhani issue yake ya uraia ndio imempa wasiwasi kocha kumpanga, mambo hayo yakishashughulikiwa tutakua tunamwona kijana.Sema kocha kibu denis hajamuelewa nn make hizi ndo mechi jamaa angekuwa wa msaada,ana nguvu anaweza tembea na mpira fresh.
kweli! sema hii issue yake ya uraia imekaa vp mbona kama sielewi make ilikuwaje ile friendly match na Malawi jamaa alipewa nafasi na akacheza afu ile mechi nadhani ilkuwa inatambulika na FIFANadhani issue yake ya uraia ndio imempa wasiwasi kocha kumpanga, mambo hayo yakishashughulikiwa tutakua tunamwona kijana.
Kocha anamuelewa sana dogo.
Mkuu, mwanao akifanya kosa haumkati pua wala kumvunja mguu.Anayemtaka Mugalu aende nae Congo, hatutaki wachezaji wanaobahatisha game, Simba ni timu kubwa sana! Hebu fikiria Mayele alipata nafasi moja tu ya kwanza kaitendea haki, Mugalu wetu hata kulipokuwa usiku bado anapigaga nje au kupaisha, hivi anaijua thamani yake na ya klabu ya Simba kweli??? Hapana mimi bado nna hasira aisee, akae bench tu akina Kagere na Kibu wasimamie show!
......Alisikika shabiki mmoja akifoka kwa hasira!
Mugalu nje!! Hawachelewi kusema siku ile aliuza mechi. Maana ndani ya 6 jamaa anapaisha. Kumbe mtoto wa watu alikua halioni goli!!Kikosi cha leo...
View attachment 1956178
Jamaa inasemekana chimbuko lake ni kama anatokea maeneo ya makambi ya wakimbizi au mpakani, hivyo uraia wake una walakini. Hivyo wanataka kujiridhisha kwanza juu ya hilo na kusiwe na utata wowote. Vinginevyo nchi inaweza kuingia kwenye kashfa kubwa si unajua tena haya mambo?kweli! sema hii issue yake ya uraia imekaa vp mbona kama sielewi make ilikuwaje ile friendly match na Malawi jamaa alipewa nafasi na akacheza afu ile mechi nadhani ilkuwa inatambulika na FIFA
Mzee Mpili aliturogea shambuliaji letuMugalu nje!! Hawachelewi kusema siku ile aliuza mechi. Maana ndani ya 6 jamaa anapaisha. Kumbe mtoto wa watu alikua halioni goli!!
Dah kweli! hapo nimekupata mkuuJamaa inasemekana chimbuko lake ni kama anatokea maeneo ya makambi ya wakimbizi au mpakani, hivyo uraia wake una walakini. Hivyo wanataka kujiridhisha kwanza juu ya hilo na kusiwe na utata wowote. Vinginevyo nchi inaweza kuingia kwenye kashfa kubwa si unajua tena haya mambo?
That's why wanataka ku clear kabisa