Simba si kawaida kubutua butua na mipira ya juu,huwa wanaweka mpira chini wanavuta wapinzani wakiona chance wanaahambulia ila leo mipira inapigwa mbele anadaka kipa wa Biashara na hawabadiliki ,halafu kwa ule uwanja mipira ya juu ukituliza hazituliiWachezaji waliokuwa wakipata nafasi walikuwa wanatumia nafasi hizo kuonesha kwamba wanaumhimu hivyo wapewe nafasi
Sasa hawana cha kuhofia
We jipe matumaini tu, subiri Yanga atuache hata point 6 health uone kama utampata tena .Tumeipenda wenyeweee chaguo letu mileleee
Simba ilishafikia kwenye climax yake
Wajiandae kipindi kigumu kisaikolojia kuanza kujenga timu upya
Me unafiki siwezi, lazima ukweli usemwe hii Simba io kabisa.Kwanza mpaka Sasa ni kama vile kocha hana first eleven ya kueleweka.Binafsi Sina imani na Simba hii ndio maana mechi ya leo sijaangalia kwenye Tv au kufuatilia kwenye redio na nina wasiwasi wakuangalia mechi Chache Sana msimu Huu za Simba.Ingawa ukiwa mkweli unaitwa utopolo lakini ukweli haujifichi Simba hii haivutii kuitazama.
Alikuta kikosi kimetengenezwa na mwenzake Sven kasafiria nyota makundi CAF , akarudi ligi juu akafukiafukia mashimo watu wakamuita professor.Leo kweli ndio nimeamini kocha wa Simba hana ni Bashite, huyu jamaa hana vyeti.
Hilo liko wazi kwa mwanasoka asiye mpumbavu, Sven kaenda FAR Rabat kaikuta ina hali mbaya ya kushuka aliiset team vizuri akaanza kugawa dozi mpaka akakaa top four.mimi natazama mapungufu ya Simba kama udhaifu toka aondoke Sven (kishingo).....tuwe wawazi Sven aliwasaidia sana katika pattern ya kushinda na timu ilikiwa superior sana.
Hebu tuacheni hizo excuses za Chama na konde boy ,tujadili ya Sasa maana hawarudi tena wameshaondokaNasema hivi simba WALIKOSEA KUWAUZA CHAMA NA KONDE BOY,shenzi
Point 6 nyingi kuirudisha kwa timu hii ya sasa na hii Yanga mpya ,ila tusubiri na wao tuwaoneWe jipe matumaini tu, subiri Yanga atuache hata point 6 health uone kama utampata tena .
Yaani unaona kikosi amepanga panga ovyo ovyo tu. Ila kila nikiangalia Simba naona timu ipo, shida kocha tu.Alikuta kikosi kimetengenezwa na mwenzake Sven kasafiria nyota makundi CAF , akarudi ligi juu akafukiafukia mashimo watu wakamuita professor...
Timu ni nzuri tatizo lilikuwa ni uwanja tu.Hebu tuacheni hizo excuses za Chama na konde boy ,tujadili ya Sasa maana hawarudi tena wameshaondoka
Na si mara ya kwanza bocco kukosea penati ,huwa anapaisha au anapiga haina nguvu ,aisee alipochukua mpira niliondoka maana nilijia atakosa tu halafu na ile presha ya kupata penatTimu ni nzuri tatizo lilikuwa ni uwanja tu.
Msimu uliopita tulipata goli moja la shida sana hapo Musoma na Biashara.
Hata leo tulikuwa na goli, Boko katoa Boko.
Ifikie mahali timu iwatambue wapiga penati mahili.
Kama Nyoni yupo na apige.
Boko ana kiherehere sana wakati sio mpigaji mzuri wa penati.
Sasa hivi hata timu pinzani hazituogopi tena kwa kifupi hatuna madhara kihivyo kwa opponent wetu tumekuwa wa kawaida sana tumeshambuliwa na Biashara kama Average team muda wote unaweza kusema Biashara leo walikuwa wanacheza na Veterani Fc.Point 6 nyingi kuirudisha kwa timu hii ya sasa na hii Yanga mpya ,ila tusubiri na wao tuwaone
ndiyo, draw plus clean sheet ugenini. subirini kesho mtaonaDaa leo draw ugenini imekuwa siyo mbaya?
Utopolo hawana timu wewe, usichanganywe na mizuka ya derby.Point 6 nyingi kuirudisha kwa timu hii ya sasa na hii Yanga mpya ,ila tusubiri na wao tuwaone
Endeleeni kukalili mwaka huu mtapata tabu sana.Utopolo hawana timu wewe, usichanganywe na mizuka ya derby.
Hao kawaida yao huwa wanakamia. Halafu biashara ni timu ngumu haswa hasa wakiwa kwao.
Boko Haram anataka afunge goli za penalty awe mfungaji boraHivi Nyoni hakuepo kupiga penati