FT: Biashara 0 Simba 0

FT: Biashara 0 Simba 0

Wachezaji waliokuwa wakipata nafasi walikuwa wanatumia nafasi hizo kuonesha kwamba wanaumhimu hivyo wapewe nafasi

Sasa hawana cha kuhofia
Simba si kawaida kubutua butua na mipira ya juu,huwa wanaweka mpira chini wanavuta wapinzani wakiona chance wanaahambulia ila leo mipira inapigwa mbele anadaka kipa wa Biashara na hawabadiliki ,halafu kwa ule uwanja mipira ya juu ukituliza hazitulii
 
Simba ilishafikia kwenye climax yake

Wajiandae kipindi kigumu kisaikolojia kuanza kujenga timu upya

Wameulize Magori kihirizi cha simba wenzake wote wameondoka huyu bwana toka enzi za Bamchawi toka akiwa Nssf anafanya nini simba
 
Me una
Binafsi Sina imani na Simba hii ndio maana mechi ya leo sijaangalia kwenye Tv au kufuatilia kwenye redio na nina wasiwasi wakuangalia mechi Chache Sana msimu Huu za Simba.Ingawa ukiwa mkweli unaitwa utopolo lakini ukweli haujifichi Simba hii haivutii kuitazama.
Me unafiki siwezi, lazima ukweli usemwe hii Simba io kabisa.Kwanza mpaka Sasa ni kama vile kocha hana first eleven ya kueleweka.
 
Leo kweli ndio nimeamini kocha wa Simba hana ni Bashite, huyu jamaa hana vyeti.
Alikuta kikosi kimetengenezwa na mwenzake Sven kasafiria nyota makundi CAF , akarudi ligi juu akafukiafukia mashimo watu wakamuita professor.

Huu msimu hawezi kumaliza Simba Sc, ataendeleza record yake ya kutokaa zaidi ya msimu mmoja kwenye team anazofundisha.

Ni swala la muda tu.
 
Nasema hivi simba WALIKOSEA KUWAUZA CHAMA NA KONDE BOY,shenzi
 
mimi natazama mapungufu ya Simba kama udhaifu toka aondoke Sven (kishingo).....tuwe wawazi Sven aliwasaidia sana katika pattern ya kushinda na timu ilikiwa superior sana.
Hilo liko wazi kwa mwanasoka asiye mpumbavu, Sven kaenda FAR Rabat kaikuta ina hali mbaya ya kushuka aliiset team vizuri akaanza kugawa dozi mpaka akakaa top four.

Kama ulicheki ile mechi ya pre-season Kati ya Simba na FAR Rabat utaona kabisa tukifungwa magoli ya kiufundi na yale tuliyopata sisi yalikuwa ni ya kuvizia.
 
Alikuta kikosi kimetengenezwa na mwenzake Sven kasafiria nyota makundi CAF , akarudi ligi juu akafukiafukia mashimo watu wakamuita professor...
Yaani unaona kikosi amepanga panga ovyo ovyo tu. Ila kila nikiangalia Simba naona timu ipo, shida kocha tu.

Huyu Duncan Nyoni nae ni mtu sana, hata siku ile ya Mazembe aliingia mwishoni ila alionyesha uhai.

Sakho yuko vizuri.

Hivi kulikuwa na sababu gani Tshabalala kuanzia benchi, wakati huwa anavuta sana timu.

Kanoute nae vipi ameumia?
 
Hebu tuacheni hizo excuses za Chama na konde boy ,tujadili ya Sasa maana hawarudi tena wameshaondoka
Timu ni nzuri tatizo lilikuwa ni uwanja tu.

Msimu uliopita tulipata goli moja la shida sana hapo Musoma na Biashara.

Hata leo tulikuwa na goli, Boko katoa Boko.

Ifikie mahali timu iwatambue wapiga penati mahili.

Kama Nyoni yupo na apige.

Boko ana kiherehere sana wakati sio mpigaji mzuri wa penati.
 
Timu ni nzuri tatizo lilikuwa ni uwanja tu.
Msimu uliopita tulipata goli moja la shida sana hapo Musoma na Biashara.
Hata leo tulikuwa na goli, Boko katoa Boko.
Ifikie mahali timu iwatambue wapiga penati mahili.
Kama Nyoni yupo na apige.
Boko ana kiherehere sana wakati sio mpigaji mzuri wa penati.
Na si mara ya kwanza bocco kukosea penati ,huwa anapaisha au anapiga haina nguvu ,aisee alipochukua mpira niliondoka maana nilijia atakosa tu halafu na ile presha ya kupata penat
 
Point 6 nyingi kuirudisha kwa timu hii ya sasa na hii Yanga mpya ,ila tusubiri na wao tuwaone
Sasa hivi hata timu pinzani hazituogopi tena kwa kifupi hatuna madhara kihivyo kwa opponent wetu tumekuwa wa kawaida sana tumeshambuliwa na Biashara kama Average team muda wote unaweza kusema Biashara leo walikuwa wanacheza na Veterani Fc.
 
Point 6 nyingi kuirudisha kwa timu hii ya sasa na hii Yanga mpya ,ila tusubiri na wao tuwaone
Utopolo hawana timu wewe, usichanganywe na mizuka ya derby.

Hao kawaida yao huwa wanakamia. Halafu biashara ni timu ngumu haswa hasa wakiwa kwao.
 
Back
Top Bottom