Mwalimu anachofanya ni kubadilisha kabisa style of play na utamaduni wa simba but let's wait, may be there's something specialCentreback watatu na mastriker wawili??
Huyu kocha anataka tucheze long balls kama Burnley au?
Mafundi wakwapi? Biriani likwapi?
Mbona huyu kocha anadhihaki falsafa ya Simbalona ya 'the beatiful game'?
Amezaliwa TanzaniaJamaa inasemekana chimbuko lake ni kama anatokea maeneo ya makambi ya wakimbizi au mpakani, hivyo uraia wake una walakini. Hivyo wanataka kujiridhisha kwanza juu ya hilo na kusiwe na utata wowote. Vinginevyo nchi inaweza kuingia kwenye kashfa kubwa si unajua tena haya mambo?
That's why wanataka ku clear kabisa
Asee kwenye kiwanja hiki habari za biriani football hamna hapa zinasakwa point tu. Birian tusubir tukicheza mechi za nyumbanCentreback watatu na mastriker wawili??
Huyu kocha anataka tucheze long balls kama Burnley au?
Mafundi wakwapi? Biriani likwapi?
Mbona huyu kocha anadhihaki falsafa ya Simbalona ya 'the beatiful game'?
DNA ya Simba ni attractive football.Mwalimu anachofanya ni kubadilisha kabisa style of play na utamaduni wa simba but let's wait, may be there's something special
Biriani halichagui uwanja kama wapishi unaoAsee kwenye kiwanja hiki habari za biriani football hamna hapa zinasakwa point tu. Birian tusubir tukicheza mechi za nyumban
Hili kocha letu zwazwa mkuuSema kocha kibu denis hajamuelewa nn make hizi ndo mechi jamaa angekuwa wa msaada,ana nguvu anaweza tembea na mpira fresh.
Kabaki Dar kwasababu za kiufundi ila azijaelezwa ni zipi.Vipi kuhusu Ajibu ni majeruhi?
Majeruhi.Kanoute yuko wapi?
Hivi huyo ni Mugalu au Kipande wa comedy za Joti?Huyu mugalu hastahili hata kuwa kwenye bench LA simba
Kocha mtata kweli sema nimeambiwa kibu issue yake ni mambo ya uraia mkuu bado yana utata
Makolo fc wameishiwa, leo ni wa kumtegemea Kibu?Kocha mtata kweli sema nimeambiwa kibu issue yake ni mambo ya uraia mkuu bado yana utata