Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Wapi Kibu,au ndio anashughulikia Uraia wake fake?KIKOSI CHA SIMBA KINACHO AANZA LEO
28 MANULA
12 KAPOMBE
5 ISRAEL
26 KENNEDY
6 WAWA
29 INONGA
& BWALYA
18 NYONI
14 KAGERE
22 BOCCO (C)
24 DILUNGA
SUBS
KAKOLANYA: HUSSEIN. MZAMIRU.
SAKHO. BANDA. DUNCAN. MUGALU.
MHILU, JIMMYSON
Tulieni Uto 🐸 tunajua kesho kaitaba hamchomokiMakolo fc wameishiwa, leo ni wa kumtegemea Kibu?
Labda sio Yanga hii iliyokupiga kimoja cha nguruwe.Tulieni Uto [emoji196] tunajua kesho kaitaba hamchomoki
kwa msaada wa uganga usijifanye umesahau😏Labda sio Yanga hii iliyokupiga kimoja cha nguruwe.
Ndio football ilivyo mkuu, wameshindwa kutumia makosa ya wapinzani wao ila wao wajiandae kupata maumivu Coz simba itabaki kuwa timu kubwaSiamini ninachokitazama
Biashara wangekuwa 2-0 mbele