FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Kila siku tunaambiwa na viongozi Simba ni team kubwa ngoja tuone leo huo ukubwa leo maana tunaona jana team kubwa zimefanya maajabu zimepiga comeback za maana kabsa
 
Simba kipindi cha pili waje na mkakati mwingine ila kwenye huo mkakati Che Malone asiwe sehemu yake.

Che Malone sio tu kwamba awekwe sub bali kama kuna uwezekano angeanza safari kurudi na tena aje na bus afu akae siti ya nyuma arushwe rushwe na asipewe rambo ya kutapikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…