FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Kila siku tunaambiwa na viongozi Simba ni team kubwa ngoja tuone leo huo ukubwa leo maana tunaona jana team kubwa zimefanya maajabu zimepiga comeback za maana kabsa
 
Sasa unaongea na umeweka ushabiki pembeni. Nakukumbusha simba bado mnajenga timu. Ni.kiherehere chenu tu kutaka kwenda ROBO FINAL
Daaah
IMG_4948.jpeg
 
Simba kipindi cha pili waje na mkakati mwingine ila kwenye huo mkakati Che Malone asiwe sehemu yake.

Che Malone sio tu kwamba awekwe sub bali kama kuna uwezekano angeanza safari kurudi na tena aje na bus afu akae siti ya nyuma arushwe rushwe na asipewe rambo ya kutapikia
 
Back
Top Bottom