FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Jamani naombeni calculator. Bravo akishinda mechi yake ya mwisho na Simba akafungwa na Mwarabu hautakuwa msala?
Iko hivi, bravo game ya kwanza alifungwa na Simba na Leo kadraw kwa hiyo head to head imeshamtoa bravo hata akija kushinda goli 180 mechi ya mwisho haibadilishi kitu ni kukamilisha ratiba na kutafuta wa kuongoza kundi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…