Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Wafanyaje ili upatikaneSimba wanakosa utulivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafanyaje ili upatikaneSimba wanakosa utulivu
Arsenal tunabebwaje? Man u katufunga lini mara ya mwisho,kibonde wetuArsenal wamebebwa
Simba bhana ...31’ Bravos wanakosa nafasi ya kuandika goli la pili
Tutashinda inshallahHeri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Ni jumapili tulivu, Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports atashuka dimbani dhidi ya wenyeji wake Bravos ya Angola katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Katika mchezo wa kwanza, Simba akiwa nyumbani aliibuka na ushindi wa 1-0, je ataendeleza wimbi la ushindi?
Simba inazidi kuimarika hasa ikichagizwa na ongezeko la Mpanzu, huku ikiwa nafasi ya pili na alama 9 wakati wenyeji Bravo wakiwa nafasi ya 3 na alama 6. Ni mtanange wa kufa na kupona.
Ikumbukwe kuwa Bravos ameshinda mechi zake mbili akiwa nyumbani, huku Simba akitoka kushinda ugenini mechi iliyopita, patawaka moto!
Mechi itakuwa mubashara Saa 1:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki.
Karibuni wote, mshuhudie wawakilishi sahihi wa kimataifa wasiotumia CALCULATOR wakielekea Robo Fainali kama ilivyoada yao!!
View attachment 3199863
================================================
1’ Simba wanaanza mpira kwa kasi kubwa
3’ ndani ya dakika hizi za mwanzoni, Mpanzu kashafanyiwa faulo mara mbili
6’ Simba wanapata kona ya kwanza
9’ Timu zote bado zinasomana
12’ Goaaaaaaaalllllllll
Bravos 1-0 Simba
15’ Simba wanaliandama lango la Bravos kama nyuki
17’ Jean Charles Ahoua anafanyiwa faulo nje ya box la Bravos
18’ Kibu anapiga lakini inakuwa nyepesi kwa kipa
21‘ FC Bravos 1-0 Simba SC
25’ Kipa wa Bravos amelala chini anapatiwa matibabu
27’ Ameamka mechi inaendelea
Ndio tutajua nani anahitaji calculatorHalafu mkikaa eti mnajipa moyo bado point moja.
Haya ipateni sasa mufuzu. 😅😅
Wakitulia na kuacha papara ..Tutashinda inshallah
Hakika. 😀Ndio tutajua nani anahitaji calculator