Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Makosa ya Malone ni matokeo ya GSM kudhamini timu mpaka za Angola,hili CAF waliangalie sana😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamejificha nyuma ya keyboardMAKOLOOOOOOO
Kibu anawafelisha sanaHapo mbele kuna utani mwingi sana unaosababishwa ubinafsi, lakini pia hapo nyuma kuna ujinga wa kupanda bila kurudi, counter attack yoyote inakuwa na madhara kwa zaidi ya 70%.
UKWELI ni kwamba tunawashambuliaji ambao hawajui kujiweka kwenye nafasi, mechi nyingi sana tukiwa tunashambulia wao hawapo kati, eti wapo pembeni.
😀😀😀Kamati ya roho mbaya ndiyo tunaingia 😅😅😅😅😅😅😅😅
Makolo leo kazi wanayoDaaaah kmkmk imekula mwamba
Chanel ipi inaonyesha kwa Dstv??Goli la wazi jamaa anagongesha nguzo?