FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Hapo mbele kuna utani mwingi sana unaosababishwa ubinafsi, lakini pia hapo nyuma kuna ujinga wa kupanda bila kurudi, counter attack yoyote inakuwa na madhara kwa zaidi ya 70%.

UKWELI ni kwamba tunawashambuliaji ambao hawajui kujiweka kwenye nafasi, mechi nyingi sana tukiwa tunashambulia wao hawapo kati, eti wapo pembeni.
Kibu anawafelisha sana
 
Back
Top Bottom