Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Mwarabu wa moto sana hii game ni lazima simba ashinde maana bravo anaenda kucheza na kibonde wa kundiSimba akishindwa kusawazisha hii game hatafuzu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwarabu wa moto sana hii game ni lazima simba ashinde maana bravo anaenda kucheza na kibonde wa kundiSimba akishindwa kusawazisha hii game hatafuzu
Ngoja tuone wamerudije ...Kagoma out
Debora in
Siku zote jambo linapoenda nje ya matarajio hivyo vitu ni lazima vitokee.Kama umetuona vile
Yaani kila kitu cha moto
Kukaa hakukaliki
Kusimama hakusimamiki
Afundishikimpanzu apelekwe kwa mkopo mashujaa wazee wa mapigo na mwendo. Ana mengi ya kujifunza
Mbona mapema sanampanzu apelekwe kwa mkopo mashujaa wazee wa mapigo na mwendo. Ana mengi ya kujifunza
Penalty FC, leo hamna Penalty mmeshazoeaTungekuwa tunafika sana kwenye box kungekuwa na possibility ya kupata penalti
Hawa wajinga wanakabia juu ya mstari wao
Na pumzi wameishiwaDakika ya 56 5imba bado hali ni ngumu
Jamaa wanapata kona nyingi ila kuzitumia sasa 🙌Na pumzi wameishiwa
Amka weweGooooooooooooooooo!!!!!!!