Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!... hatari kweli kweliIla haya mambo haya hivi hivi kiutani utani mara unasikia pye pye pyeeee. 😂😂😂😂😂😂
Full time hiyo.
Washazoea mseleleko ngoma leo ngumuJamaa wanapata kona nyingi ila kuzitumia sasa 🙌
Fadlu huwa hafanyi mabadiliko ili kuongeza tija, bali huwa anapumzisha wachezaji.Mabadiriko mengi na hakuna dalili
Hivi huku hakuna penalt za mchongo kama NBCTungekuwa tunafika sana kwenye box kungekuwa na possibility ya kupata penalti
Hawa wajinga wanakabia juu ya mstari wao
Dakika haziendi kabisa yaani 😀Dakika ya 56 5imba bado hali ni ngumu
Nipo naye hapa, unamtaka wa nini?Mkimuona cocastic naombeni mniitie. 😅😅
Unadhani Mtani haya mambo sometimes ndo yapo hivyo yaaniDuh!... hatari kweli kweli
Mzito wa kufanya Sub za kiufundiFadlu huwa hafanyi mabadiliko ili kuongeza tija, bali huwa anapumzisha wachezaji.