FT: Bravos do Maquis 1-1 Simba SC | CAF Confederation Cup | Estadio 11 de Novembre | 12.01.2025

Simba inacheza kis€ng€ kis€ng€ tu mpaka inaboa

Yani haina mipango kabisa pamoja na kwamba imesawazisha ila wachezaji ni kama wame freeze.
 
Mpira uishe kama hali ndo ilivyo field.
 
Simba inacheza kis€ng€ kis€ng€ tu mpaka inaboa

Yani haina mipango kabisa pamoja na kwamba imesawazisha ila wachezaji ni kama wame freeze.
Wameridhika tatizo....

Fadlu ana kazi bado na hiki kikosi.....huku kurelax baada ya kusawazisha sio mentality za kibingwa
 
Game approach ya leo haikuwa sahihi. Hii timu tungeweza kukimbizana nao dkk 90 bila shida na kuwafunga vizuri tu. Yamepigwa mashuti mengi ya mbali bila sababu.

Pia Fadlu asirudie kumuacha Nouma nyumbani.
 
Back
Top Bottom