Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #621
Game ya Arsenal na Man Utd inaenda matuta matuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali umeaga mapema.....Mkiongezwa la pili nitarudi..
Tuombe iwe hivyoIkiisha sare Simba kapenya...
Ni ujinga gani huu kafanya huyu nae.Hapa tuliwakosa
View attachment 3200006
Naaam inabidi awekwe benchi kwa mechi kadhaa, mtu hawezi kuwa mchomaji wa kila goli la kwanza tunalofungwa kwenye hizi mechi muhimu, halafu kusiwepo na accountability.Fadlu inabidi ampumzishe
Kweli mkuu..Naaam inabidi awekwe benchi kwa mechi kadhaa, mtu hawezi kuwa mchomaji wa kila goli la kwanza tunalofungwa kwenye hizi mechi muhimu, halafu kusiwepo na accountability.
Mpira uishe kama hali ndo ilivyo field.Simba inacheza kis€ng€ kis€ng€ tu mpaka inaboa
Yani haina mipango kabisa pamoja na kwamba imesawazisha ila wachezaji ni kama wame freeze.
Wameridhika tatizo....Simba inacheza kis€ng€ kis€ng€ tu mpaka inaboa
Yani haina mipango kabisa pamoja na kwamba imesawazisha ila wachezaji ni kama wame freeze.
Mtani hivyo ulikuwa unatembea tembea tu huko mitaa mingine ya mji wa Jf. 🤣🤣 sie tukajua haupo online.Nipe habari
AlaaLolote baya liwakute
Wanafanya ujinga sana wachezaji wetu hawana kabisa hata heshima na mechiNi ujinga gani huu kafanya huyu nae.