Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Aziz anahitaji msaada wa kimawazo, hapa kwa kweli kapigwa kitu kizito kichwani na hajuwi ni nini kilichomtokea. Ila kwa dua la mama yake mzazi ataamka tu, kuna wanawake wengine si wa kuoa hata kidogo na Hamisa ni mmoja wao. Imagine unapiga picha na watoto wa wanaume wenzako, yaani hapa dogo katukosea sana wanaume tunaojitambua.
Kabisa mkuu yani kanitia hasira kama ndugu yangu wa damuAziz anahitaji msaada wa kimawazo, hapa kwa kweli kapigwa kitu kizito kichwani na hajuwi ni nini kilichomtokea. Ila kwa dua la mama yake mzazi ataamka tu, kuna wanawake wengine si wa kuoa hata kidogo na Hamisa ni mmoja wao. Imagine unapiga picha na watoto wa wanaume wenzako, yaani hapa dogo katukosea sana wanaume tunaojitambua.
Hahahaha, kijana kapelekwa Kibra ,mzingaombwe yappKabisa mkuu yani kanitia hasira kama ndugu yangu wa damu
Si ana mtoto bongo ,labda azae na mobeto SasaTunachotaka ni mtoto mwenye kipaji azaliwe. Hapo ndani ya wiki ipigwe shoo ya uhakika mimba ipatikane
Jamaa kaoa LISHANGAZI!
"You can't judge a man before you walk in his shoes. Shucksman say so." Shaggy - It Bun Me.sema wabongo ni washirikina wadogo wadogo, Sasa mwana si kasha oa na maisha ni yake sisi tupunguze ujuaji.
sawa ni public figures, ila Wana haki ya kuamua na kuchagua kile waki pendacho.
as long as huwachangii Kodi, you got no word In their life.
Kumbuka infringement of privacy is a crime offense .
Wewe mwanamke wako kaliwa na wewe tu?N kweli ila past ya mwanamke n muhimu mno kuizingatia.
Mwanamke kuliwa na wanaume wengi n mbaya kwake ila sio mbaya mwanaume kula wanawake wengi, hiyo n nature.
Injini haina tatzo ,tatzo tu ni kuwepo kwa hao watoto tuDah ila kuoa singo maza mwenye watoto wawili ni uongo aisee, yn injini imepasuka mara mbili lazima ubora upungue.
Anyway, inasikitisha sana.
Kila mwanadamu ana historia yake hakuna alie msafi. Dada yako angeolewa na Aziz ungeandika unayoandika hapa?Tatzo historia yake inamhukum
Ningewatag lakini watakuja kunipiga ngumi.Kiumeni mtu akilialia sana ndoa ya Aziz ni kama vile anataka aolewe yeye.
sahihi kabisa, sisi wabongo huwa tuna lia lia kuhusu kuingiliwa kwa haki za binadamu."You can't judge a man before you walk in his shoes. Shucksman say so." Shaggy - It Bun Me.
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Kiumeni mtu akilialia sana ndoa ya Aziz ni kama vile anataka aolewe yeye.
Kama kununua gari engine piston imetokea ubavuni mara mbili.Dah ila kuoa singo maza mwenye watoto wawili ni uongo aisee, yn injini imepasuka mara mbili lazima ubora upungue.
Anyway, inasikitisha sana.
Naskia na yeye Ki ana watoto wawiliMkuu ubao unasoma mbili bila... Yani clean sht
Uwepo wa hilo neno tatizo ndio tatizo lenyeweInjini haina tatzo ,tatzo tu ni kuwepo kwa hao watoto tu
Pia ishu n kwamba ubora unazidi kupunguaInjini haina tatzo ,tatzo tu ni kuwepo kwa hao watoto tu
Kaliwa na wengine kabla yangu na hata baada yangu ataliwa pia.Wewe mwanamke wako kaliwa na wewe tu?