Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Ila na yeye si ana mtoto? Kwani kuwa na mtoto ndo mtu asiolewe? Kuna watu walioana mabikra lakini ndoa chali kuleAnaitwa baba wawili 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila na yeye si ana mtoto? Kwani kuwa na mtoto ndo mtu asiolewe? Kuna watu walioana mabikra lakini ndoa chali kuleAnaitwa baba wawili 😂
Kaka hapo KIHASIBU imekaaje?Hivi wazazi wake walikuwepo? Labda wangekuwepo wangemuokoa dakika za jioni
Ukiniuliza Yanga wafanyeje kuhusu Ki wamuuze na tena Uarabuni anatakiwa kwa hela nzuri,kwani siioni stability ya Ki kwa maisha yake na huyu mwanamke nje ya uwanja. Kwani maisha nje ya uwanja ya determined kiwango chako ndani ya uwanjani, sasa kwa huu mkenge aliouvaa bora wamuuze kabla hajaanza kuvurugwa na mkewe.Mkuu ubao unasoma mbili bila... Yani clean sht
Sawa, ataitwa baba wanne 🔥🔥Ila na yeye si ana mtoto? Kwani kuwa na mtoto ndo mtu asiolewe? Kuna watu walioana mabikra lakini ndoa chali kule
Nadhan na hersi ameona amsapoti huu mkenge yeye abebe mkwanja wake apite hivUkiniuliza Yanga wafanyeje kuhusu Ki wamuuze na tena Uarabuni anatakiwa kwa hela nzuri,kwani siioni stability ya Ki kwa maisha yake na huyu mwanamke nje ya uwanja. Kwani maisha nje ya uwanja ya determined kiwango chako ndani ya uwanjani, sasa kwa huu mkenge aliouvaa bora wamuuze.
OvDah yani naliwazia Hilo Nakosa jibu, dogo na vichenji vyake amekosa mke kweli anaenda kutua hapo?
Mwenzake Mkude kajipigia Kajala baada ya kuachana na Konde then kaamsha.Yaani anashindwa kujifunza kwa Mkude kwa hawa wadangaji wa mjini, maana hawa unatakiwa kwenda nao kihuni ukileta Usimp wanakunyoosha.Nadhan na hersi ameona amsapoti huu mkenge yeye abebe mkwanja wake apite hiv
Ww n singo maza?Watu mnapenda sana kuwa judges wa maisha ya watu mkitumia reference za maisha yenu, mjifunze kuishi maisha yenu, hata hao waliooana ni binadamu kama nyie kuweza au kuiweza ndoa ni majaliwa tu ya mwenyezi Mungu. Iwe ameoa bikra au single maza wa watoto 7 kama imeandikwa awe wake wataishi watazikana
Kama wameamua wao wenyewe, maisha wanayaendesha wenyewe bila kuchangiwa waacheni waishiSawa, ataitwa baba wanne 🔥🔥
Lakini si kwa ndoa hiyo, dogo ameonewa hawaendani hata kidogo... Dogo anaenda kubebeshwa mzigo waloushindwa kaka zake na tambua mpira wake si ajira rasmi akishuka kiwango ndio imeisha hiyo hapo hamna mapenzi ukweli usemwe tuWatu mnapenda sana kuwa judges wa maisha ya watu mkitumia reference za maisha yenu, mjifunze kuishi maisha yenu, hata hao waliooana ni binadamu kama nyie kuweza au kuiweza ndoa ni majaliwa tu ya mwenyezi Mungu. Iwe ameoa bikra au single maza wa watoto 7 kama imeandikwa awe wake wataishi watazikana
Dogo kaonjeshwa mbususu akazamia mazimaMwenzake Mkude kajipigia Kajala baada ya kuachana na Konde then kaamsha.Yaani anashindwa kujifunza kwa Mkude kwa hawa wadangaji wa mjini, maana hawa unatakiwa kwenda nao kihuni ukileta Usimp wanakunyoosha.
Maana dah bibie anaongea kutoka moyoni kabisa aisee, yn mpaka unaifeel hii hapa kutoka kwa heart kabisa 😂Pigia mstari bro