FT: Burkina faso 0: 2 Tanzania

FT: Burkina faso 0: 2 Tanzania

Sema nimepitia page za Burkina Faso huko mitandaoni, asee raia hawajaielewa kabisa hii ndoa. Namkubali sana Aziz Ki yuko very humble jamaa. Mungu amsimamie hii ndoa ikawe ya heri kwake.

ETI KATAA NDOA, KATAA PEKE YAKO.
 
Hii issue ni serious bro, Yanga hawana uchungu kama wazazi wanaleta ushabiki wa kipuuzi tu
Yaani nyie kila kitu mnaleta upinzani na kuconclude, kwani Ki mtoto mdogo.Ki kasema anaoa wewe ilitaka Yanga wafanye nini?.Mwacheni maisha yake yy kaamua swala la wazazi wake watamalizana wenyewe. Yanga ndiye mwajili wake na lazima amsupport au ulitaka wasiende.Maana wasingeenda mngeleta upinzani mwengine kwa nini hawajaenda.

Kama Mkenge kauingia mwenyewe.
 
Sema nimepitia page za Burkina Faso huko mitandaoni, asee raia hawajaielewa kabisa hii ndoa. Namkubali sana Aziz Ki yuko very humble jamaa. Mungu amsimamie hii ndoa ikawe ya heri kwake.

ETI KATAA NDOA, KATAA PEKE YAKO.
Kumbe na wao Hawajaelewa kama Mimi huku
 
Back
Top Bottom