LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Hivi huyu mshua atastaafu kucheza soka akiwa na yanga ya tanzania au atamalizia kucheza soka kwingine? Je kama atarudi kwao, ataenda na mkewe huyu? Vipi kama klabu ya yanga itamuuza kwa timu nyingine ya nje si itabidi aende kuishi huko na mkewe? Au ameishakuwa mtanzania hataondoka kurudi kwao burkina faso?