Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
vamos esperanza de tunizia
Next game nakufa naeASFAR 1
Kabylie 0
Kazi mnayo
Unakufa na nani sasa? Huyo Mwarabu kwake anakuchapa vizuri tuNext game nakufa nae
31 January 2026
PRESS CONFERENCE: COACH STEVE BARKER AND MORICE Q&A FOR GAME AGAINST ESPERANCE DE TUNIS
View: https://m.youtube.com/watch?v=BGq_V5D9ov0
Mna wivu sana Simba akishinda!!Simba ya sasa labda washinde njaa
Mimi ni SimbaMna wivu sana Simba akishinda!!
Mwenye kipaji kikubwa hawezi kuchezea ligi ya mchangani inayoendeshwa kisiasa anaenda zake Ulaya.View attachment 3537118
GUEYE ana talent kubwa sana,
Since when?Mimi ni Simba
Na siamini kama tutashinda leo