Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Na bado unaendelea, ujue kuna pipo zinajua mimi ni haji kweli.Oya we haji manara niaje, salimia isije kuwa kama tuli shinda wote hapo bar
Na bado unaendelea, ujue kuna pipo zinajua mimi ni haji kweli.Oya we haji manara niaje, salimia isije kuwa kama tuli shinda wote hapo bar
Dah 😂 mkuu sijawai kuwa semaji popoteEnzi zile we ukiwa semaji la simba 🥶
Tutakutana tu ngojaAsante kwa kuona hilo, huyo haji ni mzee wa fitina na husda kitambo.
Unafeli mkuu over my dead body siwezi kuwa hajihaji eh usiogope mkuu jiamini sema babra alikuzinguaga ukali kishenzi
Kadri nitakavyozidi kulipiga vita hili jina ndio litazidi kupaa, acha nilikubaliHahaha semaji 🥶 umesahau kipindi kile unatamba na slogan za do or die,this is Simba braza😂
Huyu Janja tafadhali apewe mahindi kadhaa achome ale huku anaangalia wenzake wanavyopambana..
Anamfunga nani sasa?Simba kuvuka wanaweza kabisa kundi linatimu za kawaida tu sema ilikuta Simba ipo katika matatizo. Kwa jinsi msimamo ulivyo bado Simba inayo nafasi ya kusonga mbele kikubwa ishinde mechi zake zilizobakia
Kuna watu wanaenda kupishana na pesa kizembe sana leo. Mimi nimeshabet na kumpa Simba win mapema saaaana.Mapema tu!!
Anaokota nyavuni
Kwani uongo, kiufupi wasi ulize we pigia mstari.Na bado unaendelea, ujue kuna pipo zinajua mimi ni haji kweli.
Na mimi nazidi kuli tangaza kimataifa.Kadri nitakavyozidi kulipiga vita hili jina ndio litazidi kupaa, acha nilikubali