Ubaya ubwela gani timu imelegea kama urojoUbaya ubwela season ll
Intelligent businessman unaona madhara ya kuniita haji?Haji acha mambo yako bhana 😅
wewe hujawahi kuipenda simba hata kidogo.
ata ikifanya vizuri wewe unaipaka matope😅Intelligent businessman unaona madhara ya kuniita haji?
Lini simba imewahi kufanya vizuri ?ata ikifanya vizuri wewe unaipaka matope😅
Mtumee 😁😄😃😀Haji acha mambo yako bhana 😅
wewe hujawahi kuipenda simba hata kidogo.
Oya we haji manara niaje, salimia isije kuwa kama tuli shinda wote hapo barIntelligent businessman unaona madhara ya kuniita haji?
Asante kwa kuona hilo, huyo haji ni mzee wa fitina na husda kitambo.Haji acha mambo yako bhana 😅
wewe hujawahi kuipenda simba hata kidogo.
Simba anaifunga Esperance leo. Hifadhi hii comment.SIMBA 1 - 2 ES TUNIS
Simba kuvuka wanaweza kabisa kundi linatimu za kawaida tu sema ilikuta Simba ipo katika matatizo. Kwa jinsi msimamo ulivyo bado Simba inayo nafasi ya kusonga mbele kikubwa ishinde mechi zake zilizobakiaKila la heri Simba ingawa najua timu yetu ina walakini na kuvuka ni almost impossible but kila la heri.
Simba tupe Raha /Next match;Simba SC vs Esperance hii ni machinjioni
kwa mkapa hatoki mtu
View attachment 3537119
All the best Mnyama 🦁
#nguvu Moja💪
Mapema tu!!Simba anaifunga Esperance leo. Hifadhi hii comment.
Halianna mojoteKolo Wizard anashinda hii mechi.