Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 2,278
- 3,035
Ivi bado Simba hajafungwa.Hivi bado hakuna goli
Ivi bado Simba hajafungwa.Hivi bado hakuna goli
Umezingatia mpira unaochezwa au matokeo?Hawa mbwa wanacheza utopolo mpaka inaboa
Ushindi lazima leoMimi ni Simba
Na siamini kama tutashinda leo
TushawashenyentaHivi mna uhakika kipa wa Esperance hanywi gongo?
Brother, mimi nimeweka mkeka mapema sana nikawapa Simba direct win.Tushawashenyenta
Kiongozi, leo watakuelewa tu kile ulichokisema mapema.42'
Simba 1-0 E S Tunis