Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Huyu **** wamemtoa wapi? Mipuuzi mingine aisee
Kuna niniHuyu **** wamemtoa wapi? Mipuuzi mingine aisee
Kaingia beki usajili mpya, first touch kachomesha. Hata kupiga back pass hawezi.Kuna nini
Sio rahisi mkuu.Kaingia beki usajili mpya, first touch kachomesha. Hata kupiga back pass hawezi.
Kwa mpira wanaocheza sasa 2 zinaweza kurudi
Halafu hawana hata wanachotuzidiTunisia kumbe hamna boli kule
Ukituliza kishundu itapendeza zaidiKwa hiyo mechi ikiisha hivi, bado simba atapita kweli kama wananchi walivyo na nafasi
Naongelea mwenendo wa mechi. Mimi mwenyewe nataka Simba waongezeSio rahisi mkuu.
Mnyama anaongeza goli hapo
😀😀😀Kwa hiyo mechi ikiisha hivi, bado simba atapita kweli kama wananchi walivyo na nafasi
Sio m'baya! Ni makosa ya beki kidogo tuNaongelea mwenendo wa mechi. Mimi mwenyewe nataka Simba waongeze
StrategyNdo kusema maiti leo inapiga chafya ama? 😃
Soma ubaoSio rahisi mkuu.
Mnyama anaongeza goli hapo