Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,385
- 8,354
ExactlyUkiwa na akili timamu hauwezi kuwa na matumani ha hii timuš®
ExactlyUkiwa na akili timamu hauwezi kuwa na matumani ha hii timuš®
Ilijaa??Kuna faulo hapo inajaa kambani
Timu ya kihuni huni tu , uto wasipo wapasua 7 mara hii nao watakua wamezingua sanaUtimamu wa kufikiri kwa usahihi haupo kwa viongozi tu, hata wachezaji. Walipopata goli 2 wakarelux
Mgonjwa mahututi anamaliziwa na shoka tenašRefa kaamua kuua kabisa
Brother, mimi nimeweka mkeka mapema sana nikawapa Simba direct win.
Aliyekuwa haiamini Simba kwa mechi hii ni punguani.
SawaWewe kama wale wakatoliki wa buza š
Ushindi lazima leo