FT: CAF champion League : Simba SC 2-2 Esperance l Benjamin Mkapa stadium l 1-feb-2026 l 16:00HRS

67bbf061-81d2-4099-bb1c-2afd342edf2c.jpeg
 
Simba waache unafiki na wasimwonee Mangungu, Simba wanafahamu vizuri kwamba Esperance ni moja ya timu kubwa barani Afika.

Simba wajisifu kwa kutoa sare na hiyo timu.
 
Hawalalamikii tu mechi ya jana Bali wanaangalia performance ya timu kila siku zinavyodhidi kwenda inashuka

Simba Ina status flani ilikuwa ishajiwekea ila ukichek misimu ya hivi karibuni Simba Inaenda kwa kusua sua sana ndiyo kinachowaumiza mashabiki
 
Simba imeshaaga mashindano rasmi kabisa hata akishinda mechi zake zote zilizobakia hatosonga mbele.
 
Nawaonea huruma namna watakavyokua wanamalizia mechi mbili zilizobaki huku wakiwa tayari wametoka. Huwa inaleta unyonge sana
 
Mbaya zaidi wachambuzi na waandishi wa habari za michezo wamegoma kusema ukweli kuwa Simba kupata point 1 ndio imeaga mashindano hakuna namna yeyote itakayoifanya ifuzu. Kila mchambuzi anakwambia Simba inabidi ishinde mechi zote zilizobakia wapate point 7. Point 7 za Simba hazitomfanya aende popote
 
Hawalalamikii tu mechi ya jana Bali wanaangalia performance ya timu kila siku zinavyodhidi kwenda inashuka

Simba Ina status flani ilikuwa ishajiwekea ila ukichek misimu ya hivi karibuni Simba Inaenda kwa kusua sua sana ndiyo kinachowaumiza mashabiki
Wanaoongea hivyo ni washabiki maandazi ambao hawajui mambo ya mpira.

Liverpool wamesota muda gani hadi kuja kuchukua ubingwa wa EPL, angalia Arsenal, Man United, Chelsea na Man City kwa sasa, wao mbona hawatafuti mchawi.

Shida ya waswahili ndio hiyo na ndio maana kama wanaona sasa hali ya maisha inakuwa ngumu wanatafuta sehemu wapigiwe ramli. Waswahili ni watu wa hovyo sana.
 
Me nakanusha unavyosema kuwa wanaolalamika ni mashabiki maandazi

Kwa mfano hizo timu ulizozitaja Liverpool,Chelsea na nyinginezo zote mashabiki wake kindakindaki wanalalamika

Njoo uchukue mfano halisi jinsi mashabiki wa Manchester United wanavyopiga kelele glazer waachie timu yao hiko ndicho kinatokea kwa Simba mashabiki wanaona kuwa uongozi ndiyo kiini cha matatizo Kwahiyo wanataka ubadilishwe

Kwahiyo ni jambo la kawaida mashabiki kupiga kelel duniani kote
 
Simba waajiri mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa bosi wa benchi la ufundi.
Tatizo linaanza kubadilisha makocha na kusajili wachezaji wapya wengi. Timu haina fitness wachezaji walichoka kipindi cha pili hili swala linatakiwa liangaliwe. wanachama waache kuropoka hovyo badala yake watumie vikao vyao kufanya maamuzi sahihi wengi ni wafata mkumbo na wanahusika kuwatoa mchezoni wachezaji.
 
Thimba kwa sasa ni km paka aliyemwagiwa maji
mechi ya jana half time nikaweka stake washinde
mapimbi yale yakanichania mkeka!
 
Simba waajiri mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa bosi wa benchi la ufundi.
Tatizo linaanza kubadilisha makocha na kusajili wachezaji wapya wengi. Timu haina fitness wachezaji walichoka kipindi cha pili hili swala linatakiwa liangaliwe. wanachama waache kuropoka hovyo badala yake watumie vikao vyao kufanya maamuzi sahihi wengi ni wafata mkumbo na wanahusika kuwatoa mchezoni wachezaji.
Huyo technical Director wamchukue mzungu ndo watasonga mbele. Usishangae wakampa Matola hiyo nafasi
 
Back
Top Bottom