Chuma cha Pili, Dadeki
Rekodi ziwekwe sawa. Hawa Esperance siyo waarabu.
Kikosi cha lini hiki? Weka cha leo.
Thats y i love SIMBA💪🏿
Wewe kama wale wakatoliki wa buza 😂Simba ya sasa labda washinde njaa
Halipo kama Al Ahly ya Misri.Tunisia kumbe hamna boli kule
Ndioo mkuuWakuu DStv wanaonesha hii game