Bila shaka mpaka hapa umebadilisha kauli Mkuu.Hawa Esparance hawajielewi kabisa
Sijui ni niniHiyo ndio imeisha hivyo. Timu iliacha kumiliki mpira
Una kioja weweHeeee. Maiti kashindwa kupiga chafya. Lol. 🤣🤣🤣🤣
LolStrategy
Mambo magumu
Tena magumu haswa.Mambo magumu
Maiti imerudi usingizi w mauti 😅😅Ndo kusema maiti leo inapiga chafya ama? 😃
Kuna faulo hapo inajaa kambaniUkiwa na akili timamu hauwezi kuwa na matumani ha hii timu🚮
Yaaani. 😅😅😅Maiti imerudi usingizi w mauti 😅😅
Mtani mmefikia huku. 😅😅Kuna faulo hapo inajaa kambani