FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Hizi mechi ambazo timu haipati nafasi nyingi za kutafuta magoli ni mechi za Moses Phiri. Baleke ni mfungaji wa magoli magumu ila pia siyo mtafutaji na siyo mfungaji wa magoli ya mbali.
 
Kwanza timu ilichelewa kufika Morocco, ilifika jana mchana imagine!.

Nadhani mmenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…