Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Uchovu wa safariNaona Verane wetu anaishiwa pumzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchovu wa safariNaona Verane wetu anaishiwa pumzi
Hapana Kwa game ya leo amecheza vizuri mpaka sasa..Inonga anakabia macho
Ndio ndioUto Wapo Kweli?....
Njoooni muigilizie...Yaani hapa ni Kopi Na Kupesti..! 'Simba is University of Soka in Tanzania..!
Kacheza vizuri lkn hilo goli kahusikaHapana Kwa game ya leo amecheza vizuri mpaka sasa..
SawaUto Wapo Kweli?....
Njoooni muigilizie...Yaani hapa ni Kopi Na Kupesti..! 'Simba is University of Soka in Tanzania..!
Ndiyo huyu kazingua tumsamehe tu mambo haya hutokea..Huyu onya ndo yule alitaka kuvunja mkataba baada ya kusugulishwa benchi na outtara?
Huyu mi nilishamkatia tamaa. Ni basi tu sina mamlaka pale Simba...ni kweli ni kama amerogwa maana duhHuyu Saidoo sio bure, itakuwa mzee Mpili ashafanya yake😩
Si mliona mmelamba dume kwa kuifunga Prisons?Huyu mi nilishamkatia tamaa. Ni basi tu sina mamlaka pale Simba...ni kweli ni kama amerogwa maana duh
Acha twoneNdiyo huyu kazingua tumsamehe tu mambo haya hutokea..
CAF hakuna bahashaRefa kazingua hadi sasa simba ingekuwa na goli Moja.