FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Wananyweshwa kwama maji huko.🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Edibily Jonas Lunyamila moja kati ya mawinga hatari sana kuwahi kutoka kwenye soka la Tanzania.
Alikuwa mjinga sana kurubuniwa kuendelea kucheza Yanga wakati alipata timu Ujerumani. Sasa yupo anahaha tu mtaani. Mbaya zaidi hawana elimu hawakujiongeza kama akina Mayay, Aron Nyanda, Pawasa nk
 
Mwenye Avatar ya Mo nakusalimia kwa jina la KHABBA πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Tutarajie aibu kubwa zaidi kwenye robo fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…