FT: CAF Champions League | Raja Casablanca 3-1 Simba S.C | Stade Muhammed V | 01.04.2023

Mkapa alikuwepo ile mechi?? I doubt, sikumbuki vizuri. Kama alicheza basi tayari alishakuwa mtu mzima.
Alikuwepo, naikumbuka vizuri niliona video yake. Alikula umeme siku hiyo Sekilojo akaja kucheza full back, wakawa wanapitia huko
 
Alikuwepo, naikumbuka vizuri niliona video yake. Alikula umeme siku hiyo Sekilojo akaja kucheza full back, wakawa wanapitia huko
Alishachoka mkuu. Sikutarajia Mkapa kucheza 1998, na huenda akili ilishaanza kufikiria zaidi maisha yake ya kazini kuliko mpira tena.
 
Rigobert Song hajawahi kuwa mchezaji wa maana. Huwa sielewi kwa nini Cameroon wanamuheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…