Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Nafasi zipo MkuuKaka namie naomba kama nafasi ipo
Saidoo, Baleke na Gadiel wana upuuzi huo. Gadiel akipigwa chenga anashangaa tu.Yes.. sipendi mtu anapoteza mpira halafu kazi anawaachia wengine.
Na ndio wachezaji ambao mpaka sasa hawajacheza vizuri... Baleke anajificha kwa mabeki, Ntiba amepanicHii tabia ya forward wa Simba kusimama baada ya kupoteza mipira ni ya kifa.la sana. Baleke na Saidoo huo mchezo wanafanya Sana.
Bora hata Gadiel yeye Defender anaweza kuendelea na roles zakeSaidoo, Baleke na Gadiel wana upuuzi huo. Gadiel akipigwa chenga anashangaa tu.
Sio offside. Amemuingilia goalkeeperGoaall ,, hapana ofside