Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Namanisha hivyo hivyoNimeandika"nawakumbusha" sijaandika namna ya "kutumia fedha au mipango ya fedha" za Watu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namanisha hivyo hivyoNimeandika"nawakumbusha" sijaandika namna ya "kutumia fedha au mipango ya fedha" za Watu mkuu.
Mkuu mbona unaombea magoli machache hivo? Hawa wanatakiwa wapigwe hata goli 10-1Raja uwezo mnao, sababu mnayo. Tunaomba mfanye kazi yenu, tuko nyuma yenu....
Goal zianzie 4 wao wapate hata kamoja, ka kurudia Tz.
Mdomo uliponza kiwiliwiliKatika historia..View attachment 2572148
Wapigeni kidogo ndugu zetu hao japo wana mdomo sanaNa lazima tuwapige hatuwaachi ng'oo
Unajipigia promo dogoKuna mwarabu feki na mganda og hawa sio ndugu kweli?
Uzi umekaa kishambengaKuna watu wamedandia mtumbwi wa vibwengo[emoji84][emoji84][emoji83][emoji83][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
uchambuzi utafata baadae
Stay tuned,...................
View attachment 2571830
View attachment 2571827
Saa saba ni kwa tzee sio kwaoNgoma saa saba usiku warabu wanavisa sana... Leo wachezaji wanaweza sinzia uwanjani!
Unaelewa majira yao lakiniNgoma saa saba usiku warabu wanavisa sana... Leo wachezaji wanaweza sinzia uwanjani!
Wachezaji wa timu ipi watasinzia?Ngoma saa saba usiku warabu wanavisa sana... Leo wachezaji wanaweza sinzia uwanjani!
Mbona umeishia chache, kuna zingine mbili zaidi tungependa kuzijua