FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

Vipers ambao ndiye anayesemwa kuwa ni kibonde, kafungwa tano akiwa huko Morocco nawakati Simba kafungwa goli tatu wakiwa kwao, sijui itakuwaje huko Morocco.
 
Ndio ila atakuwa kibonde tu. Mechi kasaidiwa na jua kali.

Kuna muda unafika caf wanakukatalia kucheza juani..

Si unaona simba kilichomkuta .

Simba angecheza saa 10 angeshinda
hamna ktu, simba hamna timu
 
Ndio ila atakuwa kibonde tu. Mechi kasaidiwa na jua kali.

Kuna muda unafika caf wanakukatalia kucheza juani..

Si unaona simba kilichomkuta .

Simba angecheza saa 10 angeshinda
Unasema kibonde bila fact, Sio ajabu mechi zake zote za nyumbani akashinda kwasababu hata Mamelod mwenyewe kaambulia goli moja tu nyumbani kwake, akienda Sudan anaweza fungwa pia. Swala la Simba kuambiwa wacheze saa moja sio sababu ya jua bali ni haki ya matangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…