changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Vipers ambao ndiye anayesemwa kuwa ni kibonde, kafungwa tano akiwa huko Morocco nawakati Simba kafungwa goli tatu wakiwa kwao, sijui itakuwaje huko Morocco.Huyu Vipers anaweza akawa ndio kibonde wa kundi la Simba.
Anacheza na Raja Casablanca tayari kashalambwa 2-0 na game ndio kwanza mbichi..
========
Updates
Raja 5 - 0 Vipers
Wafungaji: Hamza Khabba 5', Jamal Harkass 11', Mohamed Zrida 38' , Yousri Bouzok 59' , Raja Aholou 71'