FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

kwa jinsi Vipers wanacheza wakikutana na Yanga wanawafunga tena...
 
52' Vipers wananyimwa penati baada ya mchezaji wa raja kuonekana kama ameunawa mpira ndani ya box
 
kutunyima Manzoki ona sasa laana ya Simba imewaangukia.
na ngoja waje kwa Mkapa kudadeki zao watajuta kuingia group stage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…