FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

Vipers awe kibonde wa kundi kwani hao raja casablanca unafikiri ni wepesi? Makolo mwenyewe anaweza kula zaidi ya izo 5
 
Kwahiyo unasema "ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia ....."
 
Achana na habari za Vipers sisi wenyewe tunatakiwa kushinda au sare huko Guinea otherwise mambo yatakuwa magumu kwetu sababu tufungwa hiyo inabidi tumfunge Raja mechi ijayo
 
Vipers ndo sehemu ya Simba kuchukua point sita.
Simba anampasua Horoya kwao mapema kabisa asubuhi.
Simba na Raja wanapusua kwenda robo.

Zamaleck kafa home kwa goli moja na wahuni kutoka Algeria.
Simba ipi ya kumpasua horoya? Horoya akimuonea simba huruma ni mkono kws sifuri. Na Raja akija bongo, mwendo ndiyo huo huo anampiga tena mkono.
Jitayarisheni kumtimua huyo mcheza samba wenu anayejiita kocha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…