Ila yule aliepiga kichwa sio kaua offsideIle mbona clear offside mkuu
Wrong timing…Wrong time tetemaring...
watu wanabishana kwani sheria inasemaje...?Waarabu wamechanganyikiwa
sheria inasemajeMayele alikuwa kazidi
Ngoja tuone kipindi cha piliMayele alikuwa kazidi
Pale ingekuwa kwenye UEFA au ligi ya uingereza refa anaweka mpira katiwatu wanabishana kwani sheria inasemaje...?
Na aliendelea kutetema yule mwanetu 😀 😀Hadi akalala chini mwanetu!!
hata ikiwa umechezwa na beki..?Ukizidi hata bega tu ni offside
how..?Pale ingekuwa kwenye UEFA au ligi ya uingereza refa anaweka mpira kati