FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

Aliepiga kichwa kaua offside na kabla mayele ajafanya mikimbio alikuwa onside kabisa
Wanavyosema wao ni kwamba kuupiga yule beki sio issue, issue ni kwamba mayele alikuwa offside na alionyesha kuingilia mchezo/mpira akiwa offside that means offside inakuja wakati yule beki anaucheza na mayele akaonyesha kutaka kuucheza akiwa offside!.. kwa mujibu wa maelezo sio yangu lakini...😅
 
Dakika 47.
Kona Pyramidsfc iankuwa butu
0-0
 
Wanavyosema wao ni kwamba kuupiga yule beki sio issue, issue ni kwamba bado mayele alikuwa offside na alionyesha kuingilia mchezo/mpira akiwa offside that means offside inakuja wakati yule beki anaucheza na mayele akaonyesha kutaka kuucheza akiwa offside!.. kwa mujibu wa maelezo sio yangu lakini...😅
Pale kabla hajatoka alikuwa onside kabisa yaani na alikuwa katika side Walk
 
Back
Top Bottom