FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

FT: CAF Champions league | Semi-Final | 1st Leg | Orlando Pirates 0-0 Pyramids SC | FNB Stadium | 19.04.2025

Pyramid kwa nini wamenyimwa goli alofunga mayele
 
Aisee waafrica hatujui boli kabisaaaa.
Ukilinganisha semis za ulaya na hizi zetu ni mbingu na ardhi. Huku watu wala they not proactive in their play kabisa
 
Hawa orando wangekua vizuri wangekua washawachapa piramid mda sana
 
Nilishasema na narudia tena, Orlando Pirates ndiye anayeenda kuwa bingwa wa CAFCL msimu huu.
Kwa mpira huu.Kule kwa farao atakula nyingi au kimoja cha nguruwe biashara iishe.Piramids wanacheza kama wako nyumbani.umaliziaji tu ndo mbovu
 
Back
Top Bottom