Pyramids wanecheza vizuri na kwa utulivu ila Orlando wamekosa utulivu tu pale mbele leo.Kwa mpira huu.Kule kwa farao atakula nyingi au kimoja cha nguruwe biashara iishe.Piramids wanacheza kama wako nyumbani.umaliziaji tu ndo mbovu
Refa mungu anamuona😁
ila mkono mongo hauoni au 🤣🤣Refa mungu anamuona😁
mkono wazi kabisa ule ndugu punguza mahaba...🤣Refa anazingua huyu
LILE GOLI LA KWANZA LIMEKATALIWA KWA KANUNI IPIMkono kabisa ule mdau
ya tffLILE GOLI LA KWANZA LIMEKATALIWA KWA KANUNI IPI
Sawa mke wanguya tff
Mkeka mkuu Kuna laki 4 yangu usiku huu inaenda kuliwa mkuumkono wazi kabisa ule ndugu punguza mahaba...🤣
duh! usenge huu sasaSawa mke wangu
Jamaa wanajua boliPyramids wamecheza ball safi kabisa
Hayo maelezo ni Kiingereza?Wanavyosema wao ni kwamba kuupiga yule beki sio issue, issue ni kwamba mayele alikuwa offside na alionyesha kuingilia mchezo/mpira akiwa offside that means offside inakuja wakati yule beki anaucheza na mayele akaonyesha kutaka kuucheza akiwa offside!.. kwa mujibu wa maelezo sio yangu lakini...😅
tulia kijanaMkeka mkuu Kuna laki 4 yangu usiku huu inaenda kuliwa mkuu